Thursday, April 4, 2013

WACHEZA UCHI KATIKA SHOW YA DIAMOND

  SHOW YA DIAMOND HUKO BUKOBAMwanamke akimwagiwa maji matakoni mbele ya watoto waliohudhuria

Paja lote liko nje huku akihema utafikiri mbwa aliyekurupushwaHapo wanafanya mapenzi live japo hawajavua.....Iko haja ya kuwakataza watoto kushiriki show kama hizi.....

Hili ni kundi la watoto kama unavyoliona....Kati yao wengine ni wanafunzi....Wakifeli, lawama zote kwa serikali...


Huyu hata chupi hana.Ni kanga tu tena imefungwa upande mmoja.Haya madanguro ya uchi yanakera sana


Reactions:

0 comments:

Post a Comment

Followers

Designed by: Emil Kp Wayne © 2013. Powered by Blogger.